WIZARA YA ELIMU YAJIPANGA KUDHIBITI MAFUNDISHO YALIYO KINYUME NA MAADILI YA TANZANIA

Na Barnabas Kisengi Dodoma Kufuatia kuibuka kwa uwepo wa mafundisho na vitabu vyenye mafundisho kinyume na maadili ya kitanzania,Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imefungua kituo cha huduma kwa wateja kwa ajili ya kutoa taarifa zinazokiuka miongozo na maadili katika taasisi za elimu. Aidha amewasisitiza wamiliki wa shule kuhakikisha wanafuata Waraka Namba nne ambao